Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
World News & Updates

Recent posts

Mungu nakushukuru sana na sina namna ya kusema.

October 5 2015 , Written by Asoraell Ayo

Mungu nakushukuru sana maana wewe ni Mungu wa majira na wakati na wewe ni Mungu am baye huwatafuta sana watumishi wako ili uweze kuzikamilisha ahadiu zako wa watu wangu mpaka sasa nashukuru sana maana umenisaida sana na hatimaye nimechaguliwa kujiunga...

Read more

NAMSHUKURU SANA MUNGU

October 3 2015

sina Lugha sahihi ya kusema lakini Bwana nasema Ahsante kwa wema wako na ukarimu wako ambao wewe umenikirimia mpaka sasa nafikia hatua hii. Sii kwa nguvu wala uwezo wangu ila kwa mapenzi yako tuu Bwana. I was in a tunnel And couldn't see the light And...

Read more

Salamu

October 1 2015 , Written by Asoraell Ayo

Habari za mchana huu wapendwa na ndugu wasoimaji wa blog hii yangu nazuidi kuwaomba mzidi kupitia account hii ili kujifunza mengi japoo mapaka sasa acount hii iko kwenye matengenezo. Lakini hakuna tatizo la kukufanya wewe ushindwe kuendelea kupitia ukrasa...

Read more

HEKIMA NA BUSARA

September 28 2015

Hekima inasaidia watu kufanya mamuzi sahihi. Lakini pia Busara inasadia watu kufikiria jambo kwa undani zaidi hata kupata ukweli wake. (MATHAYO 13:53-54) Baada ya Yesu Kristo kuimaliza mifano yake katika MATHAYO 13:3-52, alitoka akaenda zake, na kuzidi...

Read more

Haya ni baadhi ya maneno ya watu walikerwa na ccm

September 27 2015

Nakuambia, nimechoka matusi na udhalilishaji unaotolewa na walio madarakani dhidi ya mtu yeyote ambaye anakuwa tishio kwake. Nimechoka majina ya kughushi, na katuni za kughushi, na maneno ya kughushi bila hatua yoyote kuchukuliwa ndani ya mitandao ya...

Read more

FAHAMU MAMBO HAYA YATAKUSIADIA SANA

September 24 2015

3.Mara zote uliza kwa waliofanikiwa kuwa mtu wa kuishi kwa mipago usikurupuke katika mambo yako.

Read more

Encouragement to you

September 24 2015

keep on trying yes you can never judge yourself as inferior.

Read more

KATA MOJA UKAWA WANGOMBEA WAWILI..soma zaidi

September 24 2015

✌✌✌✌✌✌✌✌ ------------------ Nimevumilia sana lakini acha sasa nisieme. Kidemokrasia kwa maana wanachi wanaruhusiwa kuwa wachanguaji wa maswala yao binafsi Ambao watu wachache ndiyo wenye mamlaka na maamuzi ya taifa au kundi kubwa la watu pasi na kujali...

Read more

KWANINI WATANZANIA WANAMPENDA LOWASSA?

September 24 2015

NA WATANZANI Wakati lowasa anaijiuzulu kwa kashfa ya richmond wengi tuliamini amemalizika kisiasa .mvumo wa ufisadi aliobambikiwa umempandisha chati . Kwenye bunge . Alipokuwa akisimama bunge huzizima kwa furaha. Bunge la Makinda Alipokuwa anatafuta wadhamini...

Read more

VIJANA WAPEWE ELIMU YA KUPIGA KURA

September 18 2015

vijana wengi ambao watapiga kura mwaka huu ni wale ambao hakuwahi kupiga kura tena. Hivyo kupunguza idadi ya kura zitakazoharibika elimu kwenye vyombo vya habari zitolewe kuwasaidia hawa. Hata hivyo watu wenye uzoefu katika hili waelimishe wenzao mitaani...

Read more
1 2 3 > >>